Tuesday, September 26, 2006

 

Asante sana Ndugu yangu Anonymous,

Ni kweli Ndoa ni commitment moja nzito sana na ni ngumu. Ngoja nikueleze maneno ambayo ni mazito kidogo kuhusu ndoa kwa kifupi:

  1. To love someone is to stop comparing
  2. Your husband/wife is the only person who saw your flaws and was ready to accept you as you are
  3. An Ethical person is one who wants to commit adultery but decides not to and a Moral person is one who does not even think about committing adultery at all, which of these are you?

Nitaendelea kuweka files mbalimbali kadiri muda utakavyoenda.

Asante


 

MISS TANZANIA Wema Sepetu










Thursday, September 21, 2006

 

USHAURI NASAHA

USHAURI NASAHA

Tuesday, September 19, 2006

 

 

KARIBUNI WOTE!!!!

Karibuni sana ndugu wapendwa katika blogspot kwa ajili ya wote wanaozungumza Kiswahili hata kwa wale wanaozungumza kiingereza, wote mnakaribishwa.
Hii ni blogspot ambayo itajaribu kusaidia watumiaji katika kusuluhisha machache yanayowatatiza, kushauriana pale watumiaji wanajihisi kupotoka pia kupongezana na kupeana taarifa njema zenye mtazamo wa kimaadili ya Kiafrika.
Kwa yeyote anayetaka kupata ushauri basi aandike ujumbe ambao unahakika wa kujibiwa ndani ya masaa 24. Usihofu utapata mawazo mazuri na muongozo mzuri wa kukusaidia na si kukubomoa.

KARIBU SANA

This page is powered by Blogger. Isn't yours?