Tuesday, September 19, 2006
KARIBUNI WOTE!!!!
Karibuni sana ndugu wapendwa katika blogspot kwa ajili ya wote wanaozungumza Kiswahili hata kwa wale wanaozungumza kiingereza, wote mnakaribishwa.
Hii ni blogspot ambayo itajaribu kusaidia watumiaji katika kusuluhisha machache yanayowatatiza, kushauriana pale watumiaji wanajihisi kupotoka pia kupongezana na kupeana taarifa njema zenye mtazamo wa kimaadili ya Kiafrika.
Kwa yeyote anayetaka kupata ushauri basi aandike ujumbe ambao unahakika wa kujibiwa ndani ya masaa 24. Usihofu utapata mawazo mazuri na muongozo mzuri wa kukusaidia na si kukubomoa.
KARIBU SANA

Comments:
<< Home
Saafi saana ndugu yangu nimepata taarifa zako toka kwa rafiki yangu mmoja anaitwa Rose Upor uko naye huko, mwanz mzuri tunashukuru kupata blogger ambaye ni specialized sijui nianze kwa kukuuliza swali?
Hey dada Maria,
Nashukuru umeamua kutupa ushauri nasaha. I know you are a wise person na utatusaidia sana. Hongera kwa kuanzisha blog. Nitajitahidi kuambia marafiki. Spread the news.
Your friend R

..asante asante vsana kwa kutuanzishia hii sehemu ambayo umetuahidi utatusaidia matatizo yetu within 24hrs..asante sana na ngoja nikawaambie jamaa hapo nje maana wengi wetu ndoa zimetushinda na hatujui tatizo ni nini?
Mi mtz mwenzako nipo phil.Karibu tufahamiane maana jersey jirani zetu.email yangu ndo hiyo dada yangu!
Hallo Dada,
Naomba nitoe duku duku lanu kwa njia ya email unisadia maana im dieng inside. Tafadhali nisaidie email yako. Email yangu ni rafaelmushi@hotmail.com.. Tukishawasiliana kwa email tutaweza kujua tutafikishaje tatizo langu kwa public
Post a Comment